🇹🇿 DIGITAL GROWTH KWA WAFANYABIASHARA WA KIBONGO

Ongeza WhatsApp leads kwa 185% na website inayofanya kazi 24/7.

Zaidi ya 80% ya website za wafanyabiashara wa Bongo ni “Magofu” yasiyoingiza pesa. KanziData inakupa ‘Digital Sales Department’ kamili inayokutumia Ripoti 1 kila Jumapili ikikuonyesha idadi halisi ya wateja walioingia dukani kwako.

⭐⭐⭐⭐⭐ SMEs 100+

Imeaminiwa na wajasiriamali 100+ tangu 2024

Watanzania zaidi ya 35 milioni wanatumia Intaneti...

Hilo ni soko kubwa kuliko idadi ya watu wote waliopo kwenye nchi nyingi za Ulaya. Lakini hapa kuna takwimu ya kusikitisha:

0 M

Jumla ya SMEs zilizopo nchini Tanzania. Na 98.4% hazina website kabisa.

0

SMEs sawa na 1.6% ndiyo wenye website zinazofanya kazi.

0

Websites hizo ni "ghost towns" (magofu ya miji). Ni hasara 100% kwa wamiliki

0

Website zenye manafuaa kwa wamiliki. Zinaweza kulipa kodi ya biashara.

Ukweli ambao web designers hawataki ujue!

Websites 81,200 katika ya 101,500 ni hasara kwa wafanyabiashara wa kibongo 🤔

Wanalipia hosting, domain na maintenance kila mwaka, lakini matokeo? ZERO! Kwao website imebaki kuwa brochure ya mtandaoni.

Kama ni miongoni mwa wanaomiliki website…

Nikuulize swali gumu kidogo, Bosi.

Kama nikikupa Tsh 1,000,000 saa hii hapa mkononi uitumie kwenye marketing, lakini nikakuambia LAZIMA utume hiyo traffic yote (wateja wote) kwenda kwenye website yako ya sasa… je, utakubali hiyo deal?

Au utapata kigugumizi?

Utakuwa na wasiwasi kwamba hiyo hela itaenda kupotea bure kwenye “shimo”?

Kama unasita, hauko peke yako.

Nimeongea na mamia ya wafanyabiashara Dar es Salaam, Arusha, na Mwanza. Wote wananiambia kitu kimoja kinachofanana:

“Nilimlipa kijana fulani kunitengenezea website miaka mitatu iliyopita. Ipo online, nailipia. Inaonekana poa. Lakini ukweli? Haijawahi kuniletea mteja hata mmoja.”

Imekaa tu pale kama “Digital Brochure.” Inakusanya vumbi la kidijitali. Ni kama mji uliotelekezwa.

Na sio kosa lako.

Uliuziwa uongo. Uliambiwa unahitaji “Website.” Uliambiwa ukishaiweka hewani tu (“Build it and they will come”), wateja watakuja.

Huo ndio uongo mkubwa zaidi kwenye ulimwengu wa Digital.

Design nzuri ni muhimu—lakini Design bila Strategy ni urembo tu (Just Art). Na urembo haulipi kodi ya fremu.

Huhitaji “Web Designer.” Unahitaji Sales System.

Katika sekunde chache zijazo nitakuonyesha njia mpya ya kukuza biashara yako online. Njia inayozingatia kitu kimoja tu: Namba. Kwa sababu kama wanavyosema siku zote, “Numbers Don’t Lie“.

Kabla sijakuonyesha jinsi KanziData tunavyobadilisha biashara za Bongo kutoka kuwa “Invisible” (hazionekani) mpaka kuwa “Unignorable” (haziwezi kupuuzwa), nipe dakika 5 nikuonyeshe tulichokigundua baada ya ku-analyse maelfu ya tovuti za kitanzania…

Tuligundua makosa mengi, lakini hapa tunakupa….

Sababu kuu 5 za kwanini website nyingi za biashara hapa Bongo zinakula pesa zako badala ya kukutengenezea faida.

1. Website yako ni "kikapu kinachovuja" (The leaky bucket theory)

Wafanyabiashara wengi wanahangaika kujaza maji (traffic) kwenye kikapu kilichotoboka. Unalipa mamilioni kwenye matangazo ya Instagram na Google Ads kuleta watu kwenye website, lakini hao watu wanafika na kuondoka bila kununua. Kwa nini? Website haijatengenezwa kumshawishi mteja abaki. Ina muonekano mzuri (design), lakini haina strategy ya mauzo. Ufanye nini? Badala ya kuongeza bajeti ya matangazo, ziba kwanza matundu ya website yako.

2. Unaugua ugonjwa wa "sisi" badala ya "wewe" (We-centric vs. Customer-centric)

Biashara nyingi zinajisifu zenyewe. Ukifungua website nyingi utakuta: “Sisi ni kampuni bora…“, “Tuna uzoefu wa miaka 10…“, “Mission yetu ni…” Wanasahau kwa mteja hajali kuhusu wewe; anajali kuhusu yeye mwenyewe, ni mbinafsi na ana haraka. Badala yake, website inapaswa kuongea lugha ya “Wewe utapata nini ukifanya kazi na sisi?” na “Tutatatua vipi tatizo lako?”

3. Ilitengenezwa na Designer anayesikiliza "maoni" badala ya "data" (The HiPPO effect)

Kuna hatari ya kumsikiliza HiPPO (highest paid person’s opinion – maoni ya mtu anayelipa pesa nyingi zaidi, yaani bosi). Website inatengenezwa kulingana na rangi anazopenda Bosi, au picha anazotaka meneja masoko. Ukweli ni kwamba, maoni yako hayajalishi. Kinachojalisha ni data. Je, umewahi kupima (A/B Testing) kujua wateja wanabofya wapi zaidi? Bila data, unafanya biashara kwa kubahatisha (guesswork).

4. Umeshindwa kujibu swali: "Kwanini nikuchague wewe?" (unique value proposition)

Hili ni swali ambalo ni lazima lijibiwe ndani ya sekunde chache mteja anapofika kwenye website yako. Ukiuza simu, na jirani anauza simu, na website zenu zinafanana, kwanini mteja anunue kwako? Website nyingi hazina “Offer” ya kipekee. Suluhisho? Lazima uweke wazi faida ambayo mshindani wako hana (Mfano: “Tunaleta mzigo mpaka mlangoni bure” au “Warranty ya mwaka mzima au turudishe pesa”).

5. Website ni ngumu kutumia (usability issues)

Website zinajaa animations nzito, sliders zinazozunguka haraka, na menu zilizojificha. Kwenye simu (mobile), website inakuwa nzito au maandishi ni madogo. Kumbuka, mteja wa mtandaoni ana uvumilivu sifuri. Ikiwa website inachukua sekunde 10 kufunguka, au “Button ya Kununua” haionekani wazi, mteja anaenda kwa mshindani.

Kwanini website nyingi za biashara bongo zinakula hela yako badala ya kuingiza faida

voltrive.

Website yako ni "Kikapu Kinachovuja"

Website haijatengenezwa kumshawishi mteja abaki. Ina muonekano mzuri (design), lakini haina strategy ya mauzo. Unalipa mamilioni kwenye matangazo ya Instagram na Google Ads kuleta watu kwenye website, lakini hao watu wanafika na kuondoka bila kununua.

Sustainability

Reduction your carbon footprint to a greener future with our electric vehicles.

Experience the future of electric vehicles

  • Electric vehicles benefits

  • Eco-friendly transportation

  • Cost
    efficiency

0 %

more cost effective.

Switch to

Electric vehicles and contribute to a greener future

By choosing electric vehicles , you can reduce carbon emissions and help combat climate change. Experience the benefits of clean, sustainable transportation today.

Eco-Motion

Riding the Electric Wave

Uncover the powerful technology driving electric vehicles

Electric vehicles are totally powered by electricity instead of gasoline, which makes them the super sustainable and eco-friendly choice in transportation.

Contribution to green energy

Electric vehicles provide impressive acceleration and torque, offering a smooth driving experience.

Voltrive one

The SUV for the electric vehicle era

Latest news

All posts

Ready to prepare your electric future?

Contact us